Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

PICHA: Sura ya Mtoto wa Navy Kenzo imeonekana kwa mara ya kwanza


Baada ya Familia ya Noel Mkono maarufu kama Aika na Nahreel kubahatika kupata mtoto mwishoni mwa mwaka jana hawakuwahi kupost picha yoyote ya mtoto wao inayoonesha sura yake mpaka siku ya leo January 12, 2018 ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Nahreel na Navykenzo wameweka picha ya mtoto wao na kuonesha Sura yake.
Mtoto wa Aika na Nahreel ambaye amepewa jina la Gold ameonekana kwenye picha akiwa amevaa cheni ya Gold kama lilivyo jina lake..



New song Born killer Ft fox - ALONE

New Song Dimmo -Kitabu

 


NEW SONG MAN UWEZO- SONG BARIDI TU

 
Man uwezo msanii anae chipukia kwenye tasnia ya Bongo fleva aja na ujio huu kutoka kwa producer BOB MANECK ndani ya studio za Am records. Msanii man uwezo ameiambia Blog hii ya Mabovu story kuwa kazi hii Itampeleka Zaidi kimataifa 

NEW SONG - DAR ES SALAAM ARTIST- OMMY JAY BAB


SONG- DAR ES SALAAM
MASANII- OMMY JAY BAB
PRO. MAXMIZER

KAZI KWANZA RECORD

NEW MUSIC- SINGELI MAKOPE FT PACHA - KAMA POA POA


 



NEW SONG- SHEBY LOVE- TULE BATA

Diamond Platnumz: Nina mtoto mwingine mwanza tofauti na Tiffah.


Hii inaweza ikawa ni habari mpya kutoka kwa Diamond Platnumz, inasemekana ana mtoto mwingine huko mwanza tofauti na Tiffa, hata hivyo inasemekana hata hajawahi kumuona huyo mtoto wake.

Alipohojiwa na D’jaro arungu katika kipindi cha Papaso hivi karibuni, Diamond Platnumz amesema “Huyo mwanamke story ilivyokuwa alikuwa ametoka kwenye chumba cha brother Dully akaja kwangu mimi nikafanya yangu, mimi nikarudi huku mtoto akawa ananimbia ‘ebwana mimi nina mimba….Basi ilivyokuwa mtoto ‘bana eeh mimi nina mimba’ na mimi nikawa nachezesha nini nikawa namhudumia, huku na huku bahati mbaya nikaanza na demu fulani hivi kwahiyo demu mwenyewe akanimind, nikawa nampigia simu hapokei nikaenda Mwanza kumsakanya huku na huhu nasikia kwao wakanimind nikaonekana kama mimi nazingua….Siku moja nikaenda nikambanabana ‘nikamwambia wewe una mtoto’ akanikatalia kwasababu aliniambia ile mimba niliitoa nini, kumbe ni muongo. Nikaja nikamchunguza kumbe alikuwa amezaa na mtoto namuambia ‘nataka basi nimuone mwanangu’ alinikatalia sana lakini baadaye akaja kuniambia ni kweli ni mwanao umefanana naye na nini. Nikamwambia namuomba nimuone kwenye picha huku na huku hakuweza kuwa nayo….Ikabidi asubuhi alipotoka hotelini akaenda kuniletea picha za mwanangu nione. Sasa wakati anakuja akaja amechelewa kwasababu mimi ndege yangu ilikuwa imeshakaribia ikabidi mimi nikarudi nikaacha vitu vyake pale reception, kurudi nampigia simu nitumie kwenye email sasa suala likaishia hivyo, yaani kila nikimpigia hapokei.”

Kinachoendelea eneo la Mkwajuni baada ya wananchi kufunga barabara..Picha

 

Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka eneo la tukio.
NJIA

NJIA2

NJIA3

NJIA4

mkwaju

mkwaju2




Listen/Download | Brand New Single:Shebby love - Wakati Umewadia

 
Wimbo wa msanii Shebby love ambao unahamasisha watu kujitokeza kumchagua kiongozi bora atakaye waongoza wananchi wa tanzania na kufanikisha kufika katika maendeleo na kuweka tija kwa taifa kwa ujumla sikiliza alicho kiimba msanii huyu wa bongo fleva hapa sasa.

Hivi ndivyo UKAWA ilivyompokea Mbunge Edward Lowassa Dar es Salaam… (Pichaz)





3X6A9394


July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na kukubaliana >>>> “Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani”— James Mbatia.
3X6A9441
Viongozi wa UKAWA wamekutana Bahari Beach Dar July 28 2015, wakiwa wameongozana na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa na kuumaliza utata wa maswali mengi kuhusu uamuzi wa Lowassa baada ya jina lake kutopitishwa kwenye Urais CCM.
Mbunge Edward Lowassa alitumia muda mfupi tu kuthibitisha kujiunga CHADEMA, na hii ni sehemu ya alichokisema.
3X6A9340
Mbunge Godbless Lema
3X6A9383

3X6A9385

3X6A9526 
Edward Lowassa na mke wake, Mama Regina Lowassa.
 Nilinyimwa haki ya Msingi ya kusikilizwa na kujieleza CCM, nitakuwa mnafki kusema nina imani na CCM –#TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
3X6A9607
Freeman Mbowe na Edward Lowassa.
3X6A9628
Edward Lowassa na Prof. Ibrahim Lipumba.
3X6A9651
Salum Mwalimu akiongea na Edward Lowassa.



3X6A9599
Mama Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Freeman Mbowe.
3X6A9618
Edward Lowassa na Mama Regina wakionesha kadi zao za CHADEMA.
3X6A9531

3X6A9541
Freeman Mbowe na Edward Lowassa wakiwa wananong’onezana jambo.
3X6A9573 

3X6A9655
Prof. Lipumba.
3X6A9676
Freeman Mbowe.
3X6A9696
James Mbatia.
3X6A9717 

3X6A9720
Wabunge Halima James Mdee na Joshua Nassari.
3X6A9722 

3X6A9724 

3X6A9727 

3X6A9730
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (aliyekaa katikati) na Peter Msigwa pembeni kushoto.
3X6A9760 

3X6A9766 

3X6A9782 

3X6A9807 

3X6A9875 

3X6A9880 

3X6A9889 

3X6A9890 

3X6A9897 

3X6A9899 

3X6A9901

WHEAT CLICK THIS PHOTO